Ticker

6/recent/ticker-posts

mchana mwema mpenzi wangu.




 Asali wa moyo wangu,

fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,
jua linaweza kusimama,lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.

*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu,
njooo mwandani wangu

nakusubiri daktari wangu.

Post a Comment

0 Comments