Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako. Wewe ni wa pekee maishani mwangu. Mwenye kujua hisia
moyoni mwangu.
Mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi. Nakupenda kipenzi.

0 Comments