Kumbuka kuwa wewe ni wangu

Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Wewe ni sehemu ya maisha yangu milele