Macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila mwili wangu upo kwa ajili yako dear.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja.
0 Comments