Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi?
Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!
0 Comments