= Ninapokutazama. Nayaona maisha yangu ya usoni. Siwezi ishi bila wewe mpenzi.
=Mpenzi kweli ni asali. Nataka nizidi kushuhudia utamu wa maisha nawe. Wafanya maisha yangu yawe kamili.
0 Comments